MTANGAZAJI

WASIKILIZAJI WA THUJI MPOOOOOOOOOOOO?


Sikuamini macho yangu nilipoiona picha hii,maana sikufahumu kuwa THUJI ni pazuri namna hiyo ndo maana Wamishionari wa Kijerumani waliamua kuweka maskani yako huko juu milimani,Msikilizaji wangu "BABA JORDANI"toka Kimanga,DSM ambaye ndo kawasilisha picha hii kwangu anaeleza:"BWANA mdogo Maduhu hilo hapo ni kanisa la THUJI mission SDA kule milimani upareni ona kwetu kulivyo kuzuri kama PARIS ulaya,Baba Jordan the guy from THUJI"

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.