MTANGAZAJI

FRED MANENTOBaada ya kuishi Uingereza kwa miaka kadhaa mdau huyu sasa yuko hapa jijini Dar es salaam akifurahia maisha na familia yake,jamaa anavipaji lukuki kama unavyoona hapo akiwa huko Uingereza

7 comments

Anonymous said...

Hey jamani kumbe Fred karudi Bongo jumla I didn't kniow that. That's good he needs to be close to his family. They're a great family. God bless

MADUHU said...

Ndio jamaa yuko bongo anatumikia nchi yake kama kawaida na hata leo nilionana naye kanisani Magomeni Mwembechai

Anonymous said...

Maduhu - you are a bad boy!!
yaani umempost jamaa bila kujua.
Duh mbona hatuburudishi magomeni?
Au anaona noma mambo ya magitaa na vinanda? Tuulizie tafadhali. Bless him.

Anonymous said...

Nice to let us know kwamba Fred yuko bongo. Je una email yake?
halafu ndo aliyekua anaimba na pilgrims niliowasikia ijumaa moja kwenye mornig star? Abarikiwe

Anonymous said...

Wewe unaetaka kuburudishwa si unamfahamu jamaa mfuate umuombe.

Onyango Paul said...

Hey Maduhu
It will be nice to update you blog every now and then...try and post some latest pics it will be nice..Thela avae Fred...utonga kanathe
Paul

Anonymous said...

It is always good to read from friends who are physically located all over the world.

Keep it up Brother Maduhu,

Obeid Kitalima in Dar es Salaam, Tanzania

Mtazamo News . Powered by Blogger.