MTANGAZAJI

MOROGORO YAPENDEZA


Huu ndo MJI KASORO BAHARI(MOROGORO) hapa ni eneo maarufu la MASIKA

5 comments

Anonymous said...

Hakika inapendeza maana hiyo picha imetulia

Simon Kitururu said...

Duh!Umenikumbusha home!Kazi nzuri Mzee!

Anonymous said...

Mh jamani umenikumbusha mbali sana.nimefurahi kuona mji wetu sikunyingine utuonyeshe misufini. Pia kazi unayoifanya ni nzuri hivyo nakupa moyo wa kuendelea. Sifael

Anonymous said...

Hey
Umenikumbusha mbali sana...hayo yalikuwa maeneo yangu mid Eighties so you can tell how happy I am.
Kazi nzuri sana....keep it up

Meizitang Botanical said...

thanks for sharing

Mtazamo News . Powered by Blogger.