AUREUS MBELE
Mmoja wapo wa wadau wa blog hii Aureus Mbele aliyeko masomoni Sweden akiwa mbele ya jengo la utawala katika Chuo Kikuu cha KTH Kinaitwa kwa kingereza THE ROYAY INSTITUTE OF TECHNOLOG tafsiri ya maneno yaliyopo hapo juu .Chuo hiki kilichopo Stockholm kilijengwa mwaka 1827.Kilichonipa changamoto ni jinsi hawa wenzetu walivyo na uzalendo wa kutunza vitu vyao. Vipi UDMS na vyuo vingine-Tanzania?
Post a Comment