MTANGAZAJI

MCHUNGAJI DAVID MMBAGA

Mchungaji David Mmbaga akiwa ofisini kwake huko Kitunda,Dar es salaam

Mch.David Mmbaga mmoja wa wachungaji vijana wa kanisa la waadventista kanda ya mashariki mwa Tanzania(ETC) ambaye ni mdau mkubwa wa masuala ya mawasiliano.

Mchungaji huyu ambaye amemaliza masomo yake ya Shahada ya Thiolojia
(BA in Theology) huko Bugema,Uganda na kupewa kusimamia kanisa la Kitunda jijini Dar es salaam tayali ameshaanzisha tovuti yake ambayo ni
www.waadventista.com

Mmbaga hakuanzia hapa tu bali amekuwa mbaraka mkubwa kwa wasikilizaji wa AWR idhaa ya kiswahili kutokana na kutoa mahubiri yenye kutia moyo na matumaini kwenye matangazo yetu.

WACHUNGAJI MPOOOOOOOOOOOOOOO..............?????

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.