MTANGAZAJI

MASAFA MAPYA YA AWR-KISWAHILI

Kuanzia Machi 25 hadi Octoba 27,2007 matangazo ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni (AWR) yatakuwa yakisikika kupitia Masafa Mafupi(SW) ya MB 31 khz 9600 kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 2:30 usiku. Hii ni kutokana na sababu zilizoko nje ya uwezo wetu tunaomba radhi kwa wasikilizaji wetu.

Wasikilizaji wengine wanaotusikiliza kupitia mitandao ya komputa endeleeni kututembelea katika tovuti yetu ya www.awr.org

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.