MTANGAZAJI

WAKUMBUKA?

Sophia na Michael Kuyenga wakiandaa taarifa huko St Louis Marekani

Je wakumbuka kuwa mwaka 2005 AWR iliwapeleka Watangazaji wa AWR Sophia na Michael Kuyenga , huko St Louis, Missouri, nchini Marekani kwa ajili ya kuripoti matukio yaliyokuwa yakijili kwenye mkutano Mkuu wa halmashauri kuu ya kanisa la Waadventista Wasabato duniani.

Michael Kuyenga ambaye kwa sasa ni Afisa Uhusiano wa Chuo Kikuu cha Arusha kinachomilikiwa na Kanisa la Waadvetista Wasabato Tanzania kilichoko Ngongongare,Usa River,Arusha alifanya kazi kubwa akishirikiana na AWR,Marekani kuhakikisha kuwa taarifa za mkutano huo zinawafikia wasikilizaji wetu kwa lugha ya kiswahili kila siku kwa muda usipungua siku 10
Bofya hapa
http://awr-swahili.blogspot.com/

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.