MTANGAZAJI

NAMI NAJA


Habari waungwana wana blog popote mlipo nami nimeamua kujikongoja ili nisipitwe na haya mambo ya teknolojia.

Nafurahi kuwa fahamisha kuwa ningependa tuungane katika kupeana changamoto hasa ukizingatia kuwa mimi ni mtangazaji mchanga katika kituo cha Redio ya Waadventista Ulimwenguni(AWR) hapa Morogoro,Tanzania
Matangazo ya AWR,SAUTI YA MATUMAINI yalianza kutayarishwa hapa Morogoro mwaka 1997,Matangazo ya vipindi hivi husikika katika nchi za afrika na uarabuni kupitia masafa mafupi SW ya mitabendi 25 katika khz 11915 kila siku saa 2:00 usiku hadi saa 2:30 usiku kwa saa za afrika mashariki.
Ukiwa jijini Dar es salaam na mikoa jirani waweza kuyasikia vyema matangazo haya kupitia Morning Star 105.3 FM saa 3:00 usiku hadi 3:30
Pia waweza kusikiliza matangazo haya kupitia tovuti yetu ya www.awr.org

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.