MTANGAZAJI

AWR STUDIO-MOROGORO


Studio ya kisasa ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni iliyoko Misufini,Morogoro inatoa huduma ya kurekodi nyimbo za injili za kwaya,vikundi na mtu mmojammoja katika ubora wa hali ya juu kwa kutumia technolojia ya kisasa.

2 comments

jared said...

yeah, hii ni nyema sana na mola awe nawe...tangaza....baadaye

Anonymous said...

Je wamfahamu Magesa Kuyenga

Mtazamo News . Powered by Blogger.