MAJALIWA ATOA TAHADHARI YA MASHAMBULIZI YA KIMTANDAO KWA NCHI ZA JUMUIA YA SADC (+VIDEO)
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaagiza wasimamizi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa nchi wanachama wa SADC kuhakikisha wanatumia fursa ya ukuaji wa Matumizi ya Intaneti katika kuleta maendeleo ya uchumi kupitia sekta za mawasiliano,viwanda na biashara huku akiwataka kuwa na miundo mbinu ya kujilinda na mashambuzi ya kimtandao katika nchi hizo.
Post a Comment