MTANGAZAJI

UJINGA WA WANAUME-MCH PAUL SEMBA (+VIDEO)



Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Arusha (U0A) na Mshauri wa Masuala ya Kaya ya Familia Mch Paul Semba ameendelea kutoa masomo mbambali ya Kaya na Familia katika Mkutano wa Makambi ya Dodoma yanayofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa la Waadventista wa Sabato Dodoma Kati ambapo amesema kuwa asilimia kubwa ya ustawi wa Ndoa iko kwa wanaume na mwanamme asiyewajibika katika jambo hilo huyo ni mjinga.

Mch Semba ni miongoni mwa wachungaji wanne rasmi wanaohudumu kwenye Mkutano huo akiwemo Dkt Baraka Muganda toka Washington DC Marekani  pia unahudumiwa na Kwaya zaidi ya tano toka Dodoma na Injili Family toka Goma,DRC huku ukirushwa mbashara na Morning Star Radio na Hope Channel Tanzania

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.