MTANGAZAJI

TULIKOTOKA:KATIBU MKUU WA PILI MZAWA WA WAADVENTISTA TANZANIA ASIMULIA ALIVYOTENGENEZA DARAJA SAA TISA USIKU MWAKA 1976 (+VIDEO)


Mch Elisha Okeyo ndiye alikuwa Katibu Mkuu wa Pili Mzawa katika Kanisa la Waadventista wa Sabato nchini Tanzania lililoanzishwa nchini humo mwaka 1903 .

Mch Okeyo ameleza namna makao makuu ya Kanisa hilo yalivyohamishwa toka Busegwe Mara na kuhamia Arusha kutokana na tukio la changamoto ya Miundo mbinu ya mawasilino mwaka 1976 baada ya Viongozi wa Kanisa hilo kutoka Marekani kukumbana na kadhia ya ubovu wa barabara huko Mara ambapo ilibidi atengeneze Daraja saa tisa usiku.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.