MTANGAZAJI

KUTOKA UGHAIBUNI-BARABARA ZA KULIPIA (+VIDEO)Barabara za Toll ni barabara maalum kwa ajili ya kutumiwa na magari yanaykwenda kwa mwendo kasi zaidi ili kukwepa foleni katika barabara za kawaida,mmiliki wa gari ama dereva akipita na gari katika barabara hizi anapaswa kulipia inaweza kuwa ni kupitia miamala ya kifedha kwa simu,mtandao ama kwa pesa taslimu.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.