MTANGAZAJI

DKT BARAKA MUGANDA ATOA ANGALIZO MATUMIZI YA TEKNOLOJIA MPYA(+VIDEO)


Kutokana na mabadiliko ya Teknolojia mpya zinazotokea Duniani,Dkt Baraka Muganda toka Chuo Kikuu cha Washington Marekani ameitak jamii kufahamu matumizi sahihi ya teknolojia hizo kwa kuanza na watoto,jambo ambalo linahitaji wazazi,walezi,walimu kuwa na mbinu zinazoendana na mabadiliko katika nyanja hiyo.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.