MTANGAZAJI

VIDEO MPYA YA WIMBO WA FAMILY MUSIC ILIYOREKODIWA NA JCB STUDIOZ

 

Miongoni mwa santuri mwonekano inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa Muziki wa Injili wa Kiadventista nchini Tanzania ni santuri mwonekano ya waimbaji wa Family Music toka Dar es salaam Tanzania iliyorekodiwa na JCB Studioz chini ya Mtayarishaji wa Video wa Studio hizo zilizopo Tegeta,Dar es salaam Moses Romeo.

Wimbo wa Sifa zako nitaimba ni miongoni mwa nyimbo zitakazobebwa na Santuri hiyo,wimbo huo umerekodiwa juu ya miongoni mwa majengo marefu jijini Dar es salaam ambalo ni Hoteli ya Holiday Inn ambapo pia waimbaji wa Sonda ya Dihlu walirekodi wimbo mmoja kwenye jengo hilo.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.