NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI
-->
Mambo yanazidi kuwa mazuri
kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda
kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku
hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa
kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha
vyanja za utendaji kazi katika biashara.
Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja
kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa
kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa
muda wa siku kumi.
Ili upate kushiriki Futari
unatakiwa ku-download Nikohub
kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye
mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downloda
tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya
huko uliko ni bure!.
Post a Comment