DAR ES SALAAM:RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA INSPEKTA JENERALI WA POLISI (IGP) SIMON SIRRO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha vyeo vipya Inspekta
Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro kabla ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Inspekta Jenerali wa
Polisi(IGP) Simon Sirro Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Inspekta Jenerali wa
Polisi(IGP) Simon Sirro akisaini Hati ya Kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro
mara baada ya kula kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)
Simon Sirro pamoja na IGP wa zamani Ernest Mangu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Post a Comment