Waimbaji wawili wa Kundi la The Laos la jijini Dar es salaam wamefunga ndoa hivi karibuni jijini humo. Adili Eliraha Fadhili na ambaye huimba sauti ya nne katika kundi hilo amefunga pingu za maisha na mwimbaji wa sauti ya kwanza Angel William.
Post a Comment