VIDEO YA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA ILIYOFANYWA NA JCB STUDIOZ TOKA TANZANIA
Hii ni miongoni mwa Video Mpya ya Tamasha la Kutimiza miaka 20 ya Kwaya ya Ambassadors of Christ ya Rwanda ambalo lilifanyika Desemba Mwaka 2016 mjini Kigali Rwanda.
Video hii ilichukuliwa Live na Studio za JCB za jijini Dar es salaam chini ya Mtayarishaji na Mwongozaji Moses Romeo ambaye ameingia mkataba na studio hizo zilizopo Tegeta,Dar es salaam,Tanzania.
Post a Comment