MTANGAZAJI

VIDEO MPYA YA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA ILIYOTENGENEZWA NA JCB STUDIOZ YA TANZANIA


Wimbo Mpya wa Ambassadors of Christ wa Rwanda ulioimbwa live kwenye Tamasha la Miaka 20 ya kwaya hiyo lililofanyika Desemba 2016.

Video ya wimbo huo walioimba kwa Kilingala imetengenezwa na JCB Studioz ya jijini Dar es salaam Tanzania chini ya Mtayarishaji Moses Romeo.

1 comment

Unknown said...

Mungu awabariki waimabji hawa, Wasiache kuimba na waendelee kuwa pamoja

Mtazamo News . Powered by Blogger.