MTANGAZAJI

TANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE


Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.

Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, Msiba uko Tegeta Wazo Hill jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.