MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:BAADHI YA PICHA ZA MABASI YA MWENDO KASI ZILIZOVUTA HISIA ZA WATU KWENYE MITANDAO LEO

Gari la Polisi likiwa limegonga basi la mwendo kasi maeneo ya Magomeni, Dar es salaam.
Kadi maalum ya malipo ya nauri katika mabasi ya mwendo kasi
Basi la mwendo kasi katika kituo cha Morocco jijini Dar es salaam

Miongoni mwa picha ambazo zimeonekana kuvutia watu kwenye mitandao ya kijamii baada ya mabasi ya mwendo kasi kuanza safari za majaribio za bure kwa abiria hii leo na kesho jijini Dar es salaam
No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.