MTANGAZAJI

MAMIA YA WAKENYA WAMSHUHUDIA MWIMBAJI ANGEL MAGOTI TOKA TANZANIA AKIIMBA

 

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Angel Magoti (pichani) ameendelea kung'ara kimataifa baada ya hivi karibuni kupata nafasi ya kuimba mbele ya maelefu ya wapenzi wa nyimbo za Injili nchini Kenya kwenye Tamasha la Lilikuwa International youth Foundation lilokuwa na kauli mbiu ya Badilisha fikra.

Angel Magoti ameiambia blog hii kuwa tamasha hilo lililoendeshwa na Kituo cha Televisheni cha GBS karibu na Hoteli ya Safari Park jijini Nairob ni mmwendelezo wa tamasha alilohudhuria mwaka huu huko Korea.

Angalia video ya Angel Magoti alivyoimba kwenye tamasha jijini Nairobi,Kenya

1 comment

Unknown said...

Go girl go for it may God bless you as continue minister in His Vineyard

Mtazamo News . Powered by Blogger.