MTANGAZAJI

MBEYA:SIKILIZA ALICHOKIELEZA MCH MARK WALWA MALEKANA KWA WAADVENTISTA WA SABATO WA NYANDA ZA JUU KUSINI MWA TANZANIA




 Tumia  dakika saba kusikiliza  maneno aliyoyaeleza kwa mara ya kwanza Mwenyekiti wa Unioni ya Kusini Mwa Tanzania katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato (STUM) Mchungaji Mark Walwa Malekana kwa wajumbe zaidi ya 400 wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa Konferensi ya Nyanda za Juu,Kusini Mwa Tanzania (SHC)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.