MTANGAZAJI

BADO KUNA UKIUKWAJI WA MATUMIZI SAHIHI YA ALAMA ZA BARABARANI JIJINI DAR ES SALAAM

Bado kuna ukikwaji wa kufuata maelekezo yaliyopo katika alama za barabani kwa watumiaji wa barabara jijini Dar es salaam,hapa ni Magomeni Mwembechai angalia madereva wanavyokiuka matumizi sahihi ya alama zilizopo katika eneo hili

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.