|
Askari Polisi na wataalamu wakikagua mabaki ya Chopa namba 5Y-DKK iliyoanguka Oktoba 15,2015 sehemu ya hifadhi ya wanyama ya Selous iikitokea Dar es salaam kuelekea Ludewa ambapo Mbunge wa Ludewa,Deo Filikunjombe,Rubani Capt Wiliam Silaa na abiria wengine wawili Casablanca Haule na Ngondombwitu Nkwera walipoteza maisha |
|
Waokoaji wakiwa wamebeba mabaki ya miili ya Marehemu |
Miili yote ya Marehemu imepelekwa jijini Dar es salaam kutoka katikati ya mbuga ya Selou
kitalu R3 ,mwili wa Filikunjombe utaagwa jumamosi Oktoba 17,2015 jijini Dar es salam na
kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi yatakayofanyika jumapili .
Post a Comment