HANDENI:RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA DKT ABDALLAH KIGODA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa
Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi
Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri
huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt
Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya
waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa
Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji dada wa marehemu Dkt. Asha Kigoda
nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt
Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya
waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa
Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiifarifi familia nyumbani kwa aliyekuwa Waziri
wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni
Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi
ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo
miwili
Sehemu ya waombolezaji kwenye msiba huo
Spika Anne Makinda msibani hapo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa serikali na wa kidini
nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt
Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 akiongoza mamia
ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa
Handeni kwa zaidi ya miongo miwili
Bw. Saidi Yakub akiendeshe shughuli hiyo
Sehemu ya waombolezaji
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi Mussa akisoma wasifu wa marehemu
Waombolezaji
Sehemu ya waombolezaji
Brigedia Jenerali Mstaafu Ngwilizi akiongea machache kuhusu marehemu
Rais Kikwete akipeana mikono na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu, ambaye aliwakilisha UKAWA kwenye mazishi hayo
Ndg. Muhammad Seif Khatibu akisoma rambirambi za CCM
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akitoa rambirambi za serikali
Waombolezaji knamama msibani hapo
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally (mwenye kipaza sauti mkononi) akiongoza swala ya maiti
Rais Kikwete akiwa anaongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akitoa pole kwa waombolezaji
Watumishi wa Bunge wakibeba jeneza lililo na mwili wa marehemu kuelekea kaburini
Mazishi
Mtoto wa marehemu akiweka udongo kaburini
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. John Kijazi kwenye mazishi hayo. PICHA ZOTE NA IKULU
Post a Comment