MTANGAZAJI

TANGA:SIKILIZA ALICHOELEZA MWALIMU WA KWAYA YA NGUVUMALI KUHUSU TOLEO LAO LA KWANZA LA SANTURI MWONEKANO

Kwaya ya NguvuMali ya jijini Tanga imetoa toleo lake la kwanza la santuri mwonekano liitwalo Mikate lililolekodiwa na LTV Production ya jijini Dar es salaam.

Miongoni mwa nyimbo zilizomo ni wimbo wa Tanzania unaosifia uzuri wa Tanzania na ukihimiza amani nchini.DvD hiyo inatarajiwa kuzinduliwa jijini Dar es salaam hivi karibuni.

Sikiliza mahojiano na miongoni mwa watunzi na mwalimu wa kwaya hiyo pia wimbo wa Tanzania .

 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.