MTANGAZAJI

MWANZA:THE LIGHTBEARERS WAREKODI VIDEO MPYA KATIKA KISIWA CHA SAA NANE MWANZA

Waimbaji wa kike wa The LightBearers toka jijini Dar es salaam wakati wa kurekodi video ya  miongoni mwa nyimbo zitakazokuwa katika santuri mwonekano ya tatu.Hapa ni katika kisiwa cha Saa Nane kilichopo ndani ya Ziwa Victoria,Mwanza Tanzania
The LightBearers wakielekea katika kisiwa cha Saa Nane huku Zaky Maduhu toka JCB Studioz akiendelea na uchukuaji picha za video

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.