GOMA:MWIMBAJI WA MESSAGE DES TROIS ANGES AFUNGA NDOA
Mwimbaji wa Kwaya Message des Trois Anges ya Mabanga Mjini Goma,DRC,Jolie Soko jana Septemba 27,2015 amefunga ndoa na JOLIE SOKO Ameunganisha na Mumbere Thabulya Ndada ambaye ni Daktari toka Mradi wa Heal Africa ambaye ni mshiriki wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Franco Goma Ville linaloendesha ibada kwa lugha ya Kifaransa lililopo Goma.
Sherehe ya Arusi ya wawili hao ilifanyika katika eneo liitwalo Biefesta,Message des Trois Anges ni miongoni mwa waimbaji toka Goma,DRC ambao husikika nchini Tanzania na DRC kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televisheni.
Post a Comment