MTANGAZAJI

ARUSHA:SIKILIZA WALICHOKIELEZA VIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI SEPT 9,2015

Sikiliza walichokieleza Dr Godwin Lekundayo ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Union Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania na Mchungaji Davis Fue ambaye ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Union hiyo kwa sasa anakuwa Mkurugenzi wa Uchapishaji katika Union hapa ni mara baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.