Waimbaji wa Kundi la Gospel Flames wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 29 mwaka huu kuelekea Afrika Kusini kwenye mkutano wa kimataifa wa juma moja, kutoka kulia ni Ezekiel Mukundi, Tumaini Lameck, Abraham Mwapongo na Ahadi Sagati(picha ya kwanza)
Post a Comment