DODOMA:WAADVENTISTA WA SABATO WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MAJENGO
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa akikabidhiwa vifaa vya kufanyia usafi |
Mchungaji Michael Twakaniki akiongea kweye tukio hilo |
Mchungaji Joshua Malongo akiimbisha wimbo |
Mei 3 mwaka huu Kanisa la Waadventista wa Sabato katika makanisa yake yote yaliyopo Manispaa ya Dodoma yalishiriki kufanya usafi soko kuu la Majengo. Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa. Zoezi lilitanguliwa na maandamano yaliyoanzia Nyerere Square hadi Majengo Sokoni.
Post a Comment