PICHA :ULIVYOKUWA UZINDUZI WA SANTURI MWONEKANO YA KWAYA YA VIJANA USHINDI MIKOCHENI B,JIJINI DAR ES SALAAM
![]() |
Kwaya ya Vijana Ushindi wakiimba wakati wa Uzinduzi wa Santuri Mwonekano ya Kwanza hii leo |
![]() |
Kikundi cha Born To Praise toka Tegeta |
![]() |
Kwaya ya Vijana ya Pugu ikiimba |
![]() |
Kikundi cha Smrina |
![]() |
Miriam Thomas Chirwa naye alikuwepo |
![]() |
Sonda ya Dilu |
![]() |
Kwaya ya Vijana Mbagala waliimba |
![]() |
Wilson Samweli akiimba |
![]() |
Acacia Singers |
Kwaya ya Vijana ya Ushindi toka Mikocheni B,jijini Dar es salaam Aprili 6,2015 wamezindua Santuri yao Mwonekano ya Kwanza katika DVD iitwayo Ni Wewe yenye nyimbo 10 ambayo imerekodiwa na Vocappella Media.
Tamasha la uzinduzi huo lilihu ulihudhuriwa na vikundi pamoja na wapenzi mbalimbali wa nyimbo za Injili,tukio ambalo lilifanyika katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ushindi lililoko Mikocheni B
Post a Comment