DAR ES SALAAM:MORNING STAR TV YALETA TUZO KWA WAIMBAJI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO NCHINI
Kituo cha Televisheni kinachomilikiwa na Kanisa la Waadventista Wa Sabato cha Morning Star TV kilichopo jijini Dar es salaam kitaanza mashindano kwa ajili ya kutoa tuzo ya kwanza nchini iitwayo Groove Music Awards 2015,ili kushiriki inapaswa ujaze fomu kwa ajili ya usajiri utakaohitimishwa Machi 17 mwaka huu.Maelezo zaidi angalia katika hizo picha mbili.
Post a Comment