RWANDA:BAADHI YA PICHA ZA UZINDUZI WA DVD YA AMBASSADORS OF CHRIST ULIOFANYIKA OKTOBA 11,2014
Ambassadors of Christ kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Oktoba 11,2014 walifanya tamasha katika kanisa la Waadventista Wa Sabato la Kigali English Church wakishirikiana na Friends Of Jesus,Patmos Choir na Elevate,Tamasha hilo lilikuwa ni kwa ajili ya kuzindua wa DVD mpya ya Ambassadors of Christ iitwayo Ibatebuli
Post a Comment