MWIMBAJI WA TM MUSIC OMBI JAO AFUNGA PINGU ZA MAISHA SIKU YA SABATO
Mwimbaji wa nyimbo za Injili wa TM Music Ombi Jao akifurahia jambo na mumewe Collin Migambile baada ya kufunga pingu za maisha siku ya sabato ya Juni 29,2013 Katika Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es salaam na baadaye kwenye tafrija fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika saa 1 jioni katika hoteli ya JB Belmont |
Post a Comment