MTANGAZAJI

TAMASHA LA FRIENDS OF JESUS CHOIR HILI HAPA


Friends of Jesus Choir (FoJ) ya  Rwanda  inataraji kufanya tamasha la uzinduzi wa toleo lao namba saba walilolipa jina "SHEPHERD OF MY SOUL". likiwa na nyimbo  5 za kinyarwanda , 6za kiingereza na mmoja wa kiswahili.

Waimbaji wengine watakaokuwepo ni kwenye uzinduzi huo utaofanyika kwenye Hoteli ya Serena,Kigali Rwanda Mei 18,2013 ni  The Voice toka Dar es salaam, Tanzania,Shower Power toka Zimbabawe na  Trevor toka Marekani  ambaye ni Profesa wa Muziki wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki na Kati cha Kanisa la Waadventista Wasabato kilichopo nchini Kenya
 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.