MTANGAZAJI

VICTORY SINGERS KUZINDUA VIDEO YAO KATIKA DVD KESHO JIJINI MWANZA

Mtangazaji akiwa na Walimu wa Kundi la Victory Singers la jijini Mwanza Elisha Ngusa na Philipo Magodi,kundi hilo litafanya uzinduzi wa DVD yao ya Video iitwayo Nimempata Rafiki katika ukumbi wa Nyanza

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.