MTANGAZAJI

TAMASHA LA AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR HILI HAPA

Kutakuwa na Tamasha la Ambassadors of Christ Choir ambalo litafanyika katika Hoteli ya  Serena nchini Rwanda kwa ajili ya kuchangia mkutano wa Injili utaofanyika Byumba,Waimbaji wengine watakaokuwepo ni Maranatha Family Choir inayoundwa na wanafunzi na Mwimbaji toka Nairobi, Kenya Israel Mugisha,Tamasha hilo litafanyika saa 12 jioni,desemba 22,mwaka huu

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.