Angaza Manzese Sda Choir wakiimba leo katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi-Mikocheni B ambapo Mch David Mmbaga anaendesha mafundisho yanayosikika kila siku saa 2:15 usiku Morning Star Radio Morogoro 98.9 fm,Kigoma 103.3 fm,Mwanza 102.1fm,Arusha 102.5 fm,Mbeya 106.9 fm,DSM 105.3 fm,Kisangani 107 fm na Goma 98.9fm |
Post a Comment