MTANGAZAJI

FAMILY SINGERS WACHANGIA UANZISHWAJI WA MORNING STAR TVKiongozi wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam Misheto Junior akimkabidhi Mtangazaji kiasi cha Sh 100,000 za kitanzania kuchangia uanzishwaji wa kituo cha matangazo ya televisheni cha MORNING STAR TV hii ilikuwa ni baada ya mahojiano katika kipindi cha Lulu za Injili hii leo kinachosikika Morning Star Radio saa 12 jioni kila jumamosi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.