MTANGAZAJI

AMBASSADORS OF CHRIST WAKO KAHAMA SHINYANGA KUANZIA LEO
 Waimba wa Ambassadors of Christ wa Kanisa la Waadventista Wasabato Remera,Kigali Rwanda wako mjini Kahama,Shinyanga leo Oktoba 12 hadi Oktoba 14,2012 katika tamasha la Uzinduzi wa DVD ya kwaya ya Nyahanga SDA ya mjini humo litakaloanza kesho jioni Katika Ukumbi wa Rocken Hill na Oktoba 14,2012 itakuwa ni katika Uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama Mjini

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.