PICHA ZA WAANDISHI WA HABARI WALIVYOANDAMANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM KULAANI MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI
Mwanahabari akionyesha ishara ya kazi yao kunyimwa uhuru
Wengine walibeba picha ya marehemu Daudi Mwangosi
Wanausalama pia walikuwepo kimya kimya kuhakikisha kuna usalama
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emannuel Nchimbi akiongea na wanahabari hao.
Waziri Nchimbi akiondoka baada ya kutimuliwa na waandhishi hao
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)
Post a Comment