PICHA ZA FFU WAKIDHIBITI MAANDAMANO YA CHADEMA MKOANI MOROGORO
Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla ya kuanza kwa maandamano hayo
Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya maandamano ya chadema leo mjini morogoro
Gari la chadema lililokuwa likiongoza maandamano hayo
Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa akiwa ndani ya gari la polisi
Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo mjini morogoro
Picha zote kutoka wanabii
Post a Comment