MTANGAZAJI

UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO JIJINI DAR ES SALAAM KWA AJILI YA MABASI YAENDAYO KASI


Upanuzi wa barabara ya Morogoro ya jijini Dar es salaam unaendelea kwa ajili ya mabasi ya abiria yaendayo kasi yanayotarajiwa kuanza kutumika mwaka 2014 pichani ni eneo la Magomeni Mwembechai palivyoonekana leo asubuhi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.