KILIMO KWANZA
Soko la Vitunguu lililoko Singida Mjini (Picha na Elly Nzota) |
Wakulima nchini Tanzania ambao wanazalisha mazao mbalimbali hasa kutokana na changamoto ya masoko na miundo mbinu,serikali ya Tanzania ina mpango gani wa kuboresha masoko na miundo mbinu mpaka mazao yao yafike sokoni,kuna wakati fulani nilisikia kukamatwa kwa vitunguu ambavyo viliingizwa kinyemela nchini Tanzania toka nje ya nchi.
Post a Comment