MTANGAZAJI

AJIRA ZA WALIMU NCHINI TANZANIA HIZI HAPA

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi imeeleza kuwa  waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi naOfisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Februari 2012 kwenye Ofisi zaWakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. Kila mwalimu anatakiwa kwenda kwenye Halmashauri alikopangwa, kwa sababu HAKUNA MABADILIKO
YATAKAYOFANYWA. Ambaye hataripoti ifikapo tarehe 14 Februari 2012 atapoteza nafasi hiyo.

Angalia orodha ya majina ya walimu walioajiriwa hapa:AJIRA ZA UALIMU 

12 comments

Unknown said...

ila majina ya waliyomaliza shahada ndo hayo au yatatoka mengine

Anonymous said...

HII HAIJATULIA,INAPELEKA WATU PORI

Unknown said...

Hizi ni ajira za mwaka jana 2012 si za mwaka 2013

Anonymous said...

Ajira ziko wapi jaman mbona kauli ya rais hajatekelezwa!

Anonymous said...

Jaman tumechoka kukaa home .rais ahad yako iko wap jaman ujui kila ahad n yeny kuulzwa cku ya kiama?

Anonymous said...

mbona hazionekani

Anonymous said...

NAUMIA KUSOTA NA MTAA HADI SASA,CHAAJABU NDEV NDO ZNAZD JAMAN AIBU KTK FAMILIA TOKEA DRS LA 7 NATEGEMEA NYUMBANI SIO SR WAMENCHOKA JAPOKUWA HAWASEMI.NAOMBA SERKAL IFANYE HMA KTK AJRA ZA UALMU.

Anonymous said...

Kwani jamani mmesahau kuwa watanzania ni kama watoto wadogo?ambao mkidanganya hata kwa pipi mnatulia???

Anonymous said...

Inaumiza sana aisee!

Anonymous said...

Tukisema tz kchwa cha mwendawazimu mnabisha,oooh ajira za walimu ni mwez wa kwanza,sasa mpaka mwez wa pili huu hakuna kitu,cjajua kwann mliamua kutoa ahad za uongo kiasi hyo.

Anonymous said...

Ni kheri mkasema kweli ni lini mtatoa ajira ili tujue cha kufanya.

Anonymous said...

Hata kama tunapelekwa bush poa lakini tunaomba waziri yote uliyoyatamka leo mbele ya vyombo vya habari tukifika halmashauri tuyakute ikiwa ni pamoja na kupewa fungu lote la posho ya kujikimu kwa sku 7 na sio mambo ya ya kuanza kuangaishana huko Halmashauri CHONDE CHONDE Wakrugenz maana hawa ndo wamekuwa chanzo cha migogoro kwa WALIMU wapya.AMINA!

Mtazamo News . Powered by Blogger.