TAMASHA LA AMBASSADORS OF CHRIST TOKA RWANDA JIJINI DAR ES SALAAM
Waimbaji wa Ambassadors of Christ toka Kigali,Rwanda wanatarajiwa kufanya tamasha la uimbaji jijini Dar es salaam,Tanzania.Tamasha hilo ambalo litahusisha waimbaji wa TM Music,Kurasini SDA Choir,Acacia Singers na Miriam Chirwa litafanyika Disemba 4,2011 katika ukumbi wa Dimond Jubilee na Disemba 11,2011 katika uwanja wa CCM-Kirumba,Mwanza.
Post a Comment