1 comment
- Chambi Chachage said...
-
Hii ni hatari sana, hii ni moja ya shule nzuri (kwa viwango vya Tanzania) ambayo nimewahi kuiona/kuitafiti, sasa kama na yenyewe imefikia hapo sijui zingine vipi? Nahisi hii inatokana na ongezeko kubwa la wanafunzi kupitia MMEM ambalo limepelekea shule mbalimbali zigawanywe kuwa shule mbili au zaidi!
- August 4, 2011 at 6:29 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment